Recent Posts

Wednesday, August 15, 2012

MSANI ANAYE REMIX NGOMA ZANGU NI MVIVU, 2 CHAINZ

Rapper wa Good Music 2 Chainz amesema Rappers wanao dakia kuli ngoma anayo toa na kuifanyia remix waache uvivu na wafanye kazi zao wenyewe bila kusibiri ubunifu wa mtu mwengine alafu watumie mgongo wake kutoka na kuongelewa. Alisema haya siku moha baada ya single yake ya No lie ft Drake kufikia kuuza copy laki 5 na kuwa na level ya Gold katika mauzo bora .Single hio pia imefanya vizuri sana kwenye chart za bilboard kwa kua number 2 kwenye chart za single .Pia video ya ngoma hio imeangaliwa mara million 6 kwenye utube ndani ya mwezi mmoja .Hii inaonyesha mafanikia ya wimbo huo na jinsi 2 Chainz anavyo hueshimu ndio maana hataki mtu kufanyia remix .Wasaani wanao husishwa na alichokisema 2 Chainz nikama Wiz Khalifa ,Rascoe Dash na Millz . Album ya 2 Chainz inatoka mwezi ujao itaitwa Based On A T R U Story. Misho wa siku 2 Chainz hatakiwa kukasirika sababu msani kufanya remix ya kazi yaku ni moja ya njia yakuonyesha kazi yako ni bora na ameikubali na angependa awe na mchango wake kwenye kazi yako .Napia Msani kama Wiz Khalifa ameshawahi toa ngoma kali sana na zikafanyiwa remix na rappers kama Lil wayne so ni kitu simple sana 2 chainz .

0 comments:

Post a Comment