This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Recent Posts

Wednesday, August 15, 2012

RICKROSS KWENYE JARIDA LA ROLLING STONE

Rapper Rickross kwenye jarida la Rolling Stone amefunguka mengi kuhusu utumiaji wa marijuana, pia alivyokuwa polisi jamba ambalo hajawahi kuliongelea wazi kwenye chombo chochote cha habari , Ablum mpya na kuwa boss wa MMG.


MSANI ANAYE REMIX NGOMA ZANGU NI MVIVU, 2 CHAINZ

Rapper wa Good Music 2 Chainz amesema Rappers wanao dakia kuli ngoma anayo toa na kuifanyia remix waache uvivu na wafanye kazi zao wenyewe bila kusibiri ubunifu wa mtu mwengine alafu watumie mgongo wake kutoka na kuongelewa. Alisema haya siku moha baada ya single yake ya No lie ft Drake kufikia kuuza copy laki 5 na kuwa na level ya Gold katika mauzo bora .Single hio pia imefanya vizuri sana kwenye chart za bilboard kwa kua number 2 kwenye chart za single .Pia video ya ngoma hio imeangaliwa mara million 6 kwenye utube ndani ya mwezi mmoja .Hii inaonyesha mafanikia ya wimbo huo na jinsi 2 Chainz anavyo hueshimu ndio maana hataki mtu kufanyia remix .Wasaani wanao husishwa na alichokisema 2 Chainz nikama Wiz Khalifa ,Rascoe Dash na Millz . Album ya 2 Chainz inatoka mwezi ujao itaitwa Based On A T R U Story. Misho wa siku 2 Chainz hatakiwa kukasirika sababu msani kufanya remix ya kazi yaku ni moja ya njia yakuonyesha kazi yako ni bora na ameikubali na angependa awe na mchango wake kwenye kazi yako .Napia Msani kama Wiz Khalifa ameshawahi toa ngoma kali sana na zikafanyiwa remix na rappers kama Lil wayne so ni kitu simple sana 2 chainz .

PICHA ZA PARTY YA PREZZO ALIVYO KARIBISHWA NYUMBANI.
MADEE ASEMA BADO NI MSHABIKI MKUBWA WA DOGO JANJA.

Madee
Aliyekuwa manager wa Dogo Janja ,Rapper Madee amesema bado yeye ni mshabiki mkubwa wa Dogo Janja na anaikubali sana ngoma mpya ya Dogo Janja inayoitwa Ya moyoni.Madee amesema anaujua Uwezo wa dogo janja na hii ngoma aliofanya imeonyesha wazi Dogo anaweza kufanya Ngoma tofauti inayohusu maisha .Hii ngoma itamsogeza anapotaka yeye . Kilicho mvutia Madee ni chorus ambayo amesema ina Feeling nzuri na PNC amefanya powa ingawa ningeiskia kabla ya kwenda Radio basi kuna marekebisha madogo ningempa PNC ila sikupata nafasi hio, Pia Marco Chali amefanya yake kwa kumpa beat nzuri na hizo ndio beat za Dogo Janja . Kuhusu idea ya wimbo mimi nimeipenda na ilikuwa kwenye wazo langu baada ya ngoma yake na chegge angetoa ngoma kama hio inayo ongelea maisha yake . Kuhusu Madee kuongelewa kwenye ngoma hio ,Madee amesema hajaskia kitu chochote kinacho muhusu kwenye hio Ngoma na anavyo elewa Ya Moyoni ni mambo yako binafsi na nitofauti na ya Mdomoni ambayo nikama unamsema mtu .Kila mtu ana Yamoyoni so ipo siku na mimi nitasema ya moyoni

BAADA YA KUPATA AJALI MBAYA MSANII WA HIP HOP NCHINI ROMA AZUNGUMZA NA MASHABIKI WAKE.

WAZ BAD (D.A.N.G.E.R) ACCIDENT!!! NI VILE TU MUNGU ALISEMA NO!!!(tuendelee kuishi) OTHERWS INGEKUWA NDO BABA JENNY BYE BYE... NASEMA ASANTE MUNGU JINA LAKO LITUKUZWE MILELE YOTE!! THANX MY MAMA, MY FAMILY, KWA MAOMBI YENU KTK KIPINDI HIKI KIGUMU(nimemaliza salama mungu awazidishie pale mlipopungukiwa) THANX TO MY BEBY(a alwayz kaunting on u kisses lav lav)THANX TO MA' HOME BOY DICKY( a guy tuliyepata naye ajali-...pole bro sikuweza kuushinda usukani ule, ulinizidi nguvu..aaaah sitaki hata kukumbuka, bt thanx ulikuwa jasiri sana, naikumbuka ile biblia uliyoichukua